AKILIMALI: Mbinu mpya ya kuhifadhi lishe inayodumu kwa muda mrefu
KUPATIKANA kwa foda (fodder), na jinsi ya kuzihifadhi, ni miongoni mwa changamoto ambazo wakulima wengi huzipitia katika shughuli za ufugaji wa mifugo, hasa ufugaji wa ng’ombe wa maziwa. Ili kuikabili changamoto ya jinsi ya kuhifadhi foda, wakulima wamebuni mbinu ya kuzihifadhi, kwa kuitumia mifuko ya plastiki, miongoni mwa mbinu nyinginezo. Hata hivyo, mbinu hiyo imekuwa […]
AKILIMALI: Mbinu mpya ya kuhifadhi lishe inayodumu kwa muda mrefu Read More »